NICOL RESOURCES

Welcome to NICOL Resources. We provide you with our most recent reports, announcements and news on our investment plans, meetings (Ordinary and Annual General Meetings), as well as our ongoing projects.

OUR SHAREHOLDERS LIST

Title: NICOL SHARE HOLDERS

This report contains list of nicol share holders
-------
This report contains list of nicol share holders
general
general
Reference: Uploaded: Last Updated:
R/2016/76 2016-06-01 20:08:28 2016-06-01 23:01:46

Summary:

This report contains list of nicol share holders

No documents Available
No images Available
No videos Available

Recent News & Announcements

Title: FOMU YA UHAKIKI WA WANAHISA

Kuhakiki taarifa zako za umiliki wa hisa NICOL kwa ajili ya gawio, pamoja nakutoa taarifa sahihi za mawasiliano tafadhali pakua(download) fomu zilizopo chini ya taarifa hii, kisha ujaze na kuzituma kutumia njia mojawapo kati ya zifuatazo:

1) Kwa kufikisha fomu ofisini kwetu. Anuani ya ofisi ni : 11 Serengeti Road, Mikocheni “B“, Dar es salaam
2) Kwa barua pepe kwenda: invest@nicoltz.com
3) Kwa sanduku la posta. Barua iandikwe kwenda kwa Afisa Mkuu Mtendaji, National Investments Plc, P.O.Box 7465, Dar es salaam
Kwa mawasiliano zaidi piga No. 0682 720 679 au 0222701436,
general notification
Reference: Uploaded: Last Updated:
NEWS/2019/45 2019-01-07 11:39:40 2019-01-07 11:54:50

summary:

document icon
Name: 
38_35_amendment form_halla_haall
Date added: 
07-01-2019 11:45:14.
download icon
document icon
Name: 
38_35_fomu ya wanahisa_laahl_haall
Date added: 
07-01-2019 11:45:14.
download icon

No images Available
No videos Available

Title: WITO MKUTANO MKUU WA NNE WA WANAHISA

Tunakuarifu kama Mwanahisa wa NICOL kwamba mkutano mkuu wa nne wa mwaka utafanyika tarehe 28th July 2018 katika ukumbi wa JNICC. Mtaa wa Shaaban Robert, Dar es Salaam, usajili utaanza kuanzia saa mbili kamili asubuhi. Tunathamini uwepo wako, unaombwa uhudhurie Mkutano huu muhimu ukiwa na kitambulisho pamoja na kivuli cha cheti cha hisa. Kwa mawasiliano zaidi piga No. 0682 720 679 au 0222701436,
meeting notification
Reference: Uploaded: Last Updated:
NEWS/2018/40 2018-07-13 05:18:50 2018-07-17 12:45:47

summary:

Tunakuarifu kama Mwanahisa wa NICOL kwamba mkutano mkuu wa nne wa mwaka utafanyika tarehe KESHO 28 Julai 2018 katika ukumbi wa MKutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere - JNICC. Mtaa wa Shaaban Robert, Dar es Salaam, usajili utaanza kuanzia saa mbili kamili asubuhi. Tunathamini uwepo wako, unaombwa uhudhurie Mkutano huu muhimu ukiwa na kitambulisho pamoja na kivuli cha cheti cha hisa. Kwa mawasiliano zaidi piga No. 0682 720 679 au 0222701436,

No documents Available
No images Available
No videos Available

Title: MALIPO YA GAWIO KWA WANAHISA YAANZA

Kampuni ya uwekezaji ya NICOL, inapenda kuwataarifu wanahisa wake wote kuwa malipo ya gawio ya faida kwa wanahisa wake kama ilivyopitishwa kwenye mkutano mkuu wa wanahisa 2017 yameanza kufanyika toka tarehe 1 Marchi 2018, kwa wanahisa wote waliokuwa wamewakilisha taarifa zao za kibenki na uhakiki wao kwenye menejimeti ya NICOL.
Kampuni ya NICOL inaomba wanahisa wake wote ambao hawajafanya uhakiki wa taarifa zao na za kibenki kufanya hivyo, ili hatua za malipo ya gawio yaweze kufanyika. Wanahisa ambao hawakukamilisha uhakiki wanaweza kupakua fomu ya uhakiki na kujaza taarifa zao; kwa kutembelea tovuti ya NICOL www.nicoltz.com, na kisha kutuma kwa barua pepe (email) kwenda invest@nicoltz.com au kwa sanduku la posta Afisa MKuu Mtendaji, National Investments Company LImited, P.O.Box 7465 Dar Es Salaam. Kwa taarifa zaidia wasialiana nasi kwa namba 022 2701436.
general notification
Reference: Uploaded: Last Updated:
NEWS/2018/36 2018-03-21 09:09:28 2018-05-01 07:57:49

summary:

Kampuni ya uwekezaji ya NICOL, inapenda kuwataarifu wanahisa wake wote kuwa malipo ya gawio ya faida kwa wanahisa wake kama ilivyopitishwa kwenye mkutano mkuu wa wanahisa 2017 yameanza kufanyika toka tarehe 28 February 2018, kwa wanahisa wote waliokuwa wamewakilisha taarifa zao za kibenki na uhakiki wao kwenye menejimeti ya NICOL.

No documents Available
No images Available
No videos Available

Title: DOWNLOAD NICOL ANNUAL REPORT 2016

NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED BELOW.
general notification
Reference: Uploaded: Last Updated:
NEWS/2017/34 2017-12-05 12:56:20 2018-01-10 07:47:12

summary:

NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED BELOW.

document icon
Name: 
annual report_ final_low res (003)
Date added: 
05-12-2017 12:56:20.
download icon
document icon
Name: 
amendment form
Date added: 
10-01-2018 7:47:12.
download icon

No images Available
No videos Available

Title: MKUTANO MKUU WA WANAHISA NICOL 2017

Taarifa inatolewa kwamba Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanahisa wa NICOL 2017 utafanyika Kituo Cha Mikutano Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere(Ukumbi wa Selous), Kitalu Na. 10 Barabara ya Shaaban Robert Street, Dar es salaam, Siku ya Jumamosi tarehe 2 Desemba 2017, Saa Nne Asubuhi. Agenda ya Mkutano ni kama ifuatavyo:

1. Matangazo na Akidi.
2. Kupitisha Agenda ya Mkutano Mkuu wa Tatu wa Wanahisa, 2017.
3. Kuthibitisha Kumbukumbu za Mkutano Mkuu wa Pili wa Wanahisa 2016, Uliofanyika tarehe 26 November 2016.
4. Yatokanayo na Mkutano Mkuu wa Wanahisa uliopita.
5. Kupokea, kujadili na kupitisha Ripoti ya Wakurugenzi na Taarifa zilizokaguliwa za Fedha kwa Mwaka uliyoisha tarehe 31 Desemba 2016.
6. Kupokea na kupitisha mapendekezo ya malipo ya gawio kwa Mwaka ulioisha 31 Desemba 2017.
7. Uteuzi wa Wakurugenzi.
8. Kupokea na kuthibitisha uteuzi wa Wakaguzi wa Mahesabu kwa Mwaka 2018.
9. Kupokea na kuidhinisha mapendekezo ya malipo ya Wakurugenzi wa Bodi.
10. Kupokea ripoti ya kurudisha hisa za NICOL kwenye soko la hisa Dar es salaam.
11. Mengineyo

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA

1. Mwanahisa mwenye Agenda ambayo angependa ijadiliwe anatakiwa aiwasilishe hoja yake kimaandishi kwenye sekretarieti kwa kutumia moja ya njia zilizoorodheshwa hapa chini, kabla au ifikapo tarehe 20 November 2017. 
a) Kuwasilisha kwenye ofisi za NICOL zilizopo Na. 11 Barabara ya Serengeti, Mikocheni “B”, Dar es salaam. 
b) Barua pepe: invest@nicoltz.com 
c) Posta: S.L.P 7465 Dar es salaam. 

2) Mwanahisa anayependa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi atume jina na sifa zake kwenye Sekretarieti kabla au ifikapo Tarehe 20 Novemba 2017 kwa kutumia zilizooneshwa hapo juu.

  3) Wanahisa wanaotaka kuhudhuria mkutano huu watajigharamia wenyewe na wanatakiwa waje na nakala za Depository Certificate ya hisa zake, pamoja na kitambulisho kinachotambulika. 

4) Wanahisa anayestahili kuhudhuria mkutano, lakini anashindwa kufanya hivyo anaweza kuteua mwakilishi kwa kutuma jina laki kwenye sekrtarieti kama ilivyooneshwa hapo juu. Nakala za fomu za uwakilishi zinapatikana kwenye ofisi za NICOL au waweza kuzipakua kutoka kwenye tovuti ya NICOL: www.nicoltz.com/resou.

Taarifa Imetolewa na Bodi ya Wakurugenzi NICOL

Benjamin S. Mwakagamba
Katibu Mkuu
9th November 2017
meeting notification
Reference: Uploaded: Last Updated:
NEWS/2017/32 2017-11-18 12:36:12 2017-11-28 07:10:18

summary:

Taarifa inatolewa kwamba Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanahisa wa NICOL 2017 utafanyika Kituo Cha Mikutano Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere(Ukumbi wa Selous), Kitalu Na. 10 Barabara ya Shaaban Robertt, Dar es salaam, Siku ya Jumamosi tarehe 2 Desemba 2017, Saa Nne Asubuhi. Kwa maelezo zaidi kuhusu mkutano tafadhali piga simu namba 022-2701436 kati ya saa 3 Asubuhi na 9:30 Alasiri au tuandikie barua pepe kwenda invest@nicoltz.com.

document icon
Name: 
proxy form _ english version
Date added: 
18-11-2017 12:36:12.
download icon
document icon
Name: 
23_proxy form _ kiswahili_hlaal
Date added: 
18-11-2017 12:37:11.
download icon
document icon
Name: 
nicol public annoucement
Date added: 
18-11-2017 12:36:12.
download icon

No images Available
No videos Available

Recent Reports

Title: AGM 2017 MINUTES(MAJUMUISHO YA MKUTANO MKUU 2017)

Minutes of 2017 Annual General Meeting of NICOL have been released. Please download to have a read, from the link below.(Majumuisho ya mkutano ku wa wanahisa 2017 yamechapishwa, tafadhali pakua kwa kuanagalia link hapa chini.)
-------
Minutes of 2017 Annual General Meeting of NICOL have been released. Please download to have a read, from the link below.(Majumuisho ya mkutano ku wa wanahisa 2017 yamechapishwa, tafadhali pakua kwa kuanagalia link hapa chini.)
general
general
Reference: Uploaded: Last Updated:
RPT/2018/80 2018-12-20 13:57:33 2018-12-20 13:58:46

Summary:

Minutes of 2017 Annual General Meeting of NICOL have been released. Please download to have a read, from the link below.(Majumuisho ya mkutano ku wa wanahisa 2017 yamechapishwa, tafadhali pakua kwa kuanagalia link hapa chini.)

document icon
Name: 
nicol _ english minutes
Date added: 
20-12-2018 13:57:35.
download icon
document icon
Name: 
nicol _ kisw minutes
Date added: 
20-12-2018 13:58:46.
download icon

No images Available
No videos Available

Title: NICOL ANNUAL REPORT 2016

NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED BELOW.
-------
NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED BELOW.
general
general
Reference: Uploaded: Last Updated:
RPT/2017/78 2017-12-05 12:53:32 2017-12-05 12:53:32

Summary:

NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT FOR 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED.

document icon
Name: 
annual report_ final_low res (003)
Date added: 
05-12-2017 12:53:32.
download icon

No images Available
No videos Available

Title: NICOL ANNUAL REPORT AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR

NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED FROM THE LINK BELOW.
-------
NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED FROM THE LINK BELOW.
general
general
Reference: Uploaded: Last Updated:
RPT/2017/77 2017-10-04 08:59:44 2017-10-04 08:59:44

Summary:

NATIONAL INVESTMENTS COMPANY LIMITED ANNUAL REPORT AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 31ST DECEMBER 2016 IS READY AND CAN BE DOWNLOADED FROM THE LINK BELOW.

document icon
Name: 
annual report
Date added: 
04-10-2017 7:59:58.
download icon

No images Available
No videos Available

NICOL PROJECT REPORTS

    No Reports Available For Now

GET IN CONTACT

OUR OFFICE LOCATION
11 Serengeti Road,
Mikocheni "B"
P.O.Box 7465
Dar Es Salaam
Tanzania

Tel: +255 22 2701436
Tel: +255 22 2701348
Email: invest@nicoltz.com